4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA VYUMBA 4,TSHS.200 MILIONI,MBWENI KIEMBENI.
Hapa ni jirani na Chuo cha KIJESHI CHA MAPINGA.
Baada tu ya Daraja la MBWENI MWISHO/MAPUTO.
Nyumba ni mpya YA KISASA na yakuhamia.
Mitaa tulivu kabisa hutajutia.
Kila Chumba kina Choo chake ndani.
Pia kuna Sebule, Jiko zuri na Choo cha Familia ndani.
Vile vile kuna Servant's Quarter yenye vyumba 2.
KIWANJA KIMEPIMWA.
HATI ITATOKA KWA JINA LAKO.
Usalama wakutosha kwani,
Majiirani wengi ni wanausala.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________em


















