4 Bedrooms House for sale at Msongola, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI INAUZWA (MILLION 25) KWA NIABA YA BANK MBONDOLE MSONGOLA
✅️Ina Vyumba Vinne Kimoja Master, Sitting, Kitchen&Public Toilet
✅️Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
✅️Ukubwa Wa Eneo: SQM 450
✅️Mark : 4 Way Njia Nne/ Viwege/Kkc Garden Hall
✅️Umbali: Meter 500 Tu Kutoka Barabara kuu
✅️Bei : 25 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254