4 Bedrooms House for sale at Msongola, Dar Es Salaam







GHOROFA MPYA YENYE SWIMING POOL, ROOM 7, TSHS.250 MILIONI, KITONGA MSONGOLA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 7 ( 4 Vyoo ndani) pia kuna Sebule 2, Dining-room,Store na Choo cha Familia.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.