4 Bedrooms House for sale at Mwembe, Kilimanjaro


NYUMBA YENYE HATI,VYUMBA 4,TSHS.170 MILIONI, MWEMBE MTENGU/KIGAMBONI.
Ni nyumba Safi ya kisasa.
INAUZWA PAMOJA NA SAMANI ZAKE (Fenicha)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni umbali wa kilomita 14 kutoka FERRY
Vyumba vya kulala 4 (Masta 1)
Sebule, Jiko, Dining-room na Choo cha Familia ndani.
NI NYUMBA YA KUHAMIA NA HAIHITAJI MAREKEBISHO YOYOTE.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI
+255 714 591 548
_______________mpg