4 Bedrooms House for sale at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI INAUZWA 150 MILIONI PUGU DSM
Features....
Vyumba Vinne
Master mbili
Sebule, dining
Kitchen, store
Public toilet
Kiwanja kimepimwa
Square meters 1100+
Ina fensi, umeme
Maji ya uhakika kisima
Mita 70 kutoka barabarani
Bei 150,000,000 maongezi kidogo
Nyumba nzuri sana mpya ya kisasa
Ipo Pugu Kinyamwezi Ukonga, Ilala Dar es Salaam
Call/WhatsApp 0713066000 0753066000
Karibu dalalimsomipuguchanika tukuhudumie kwa huduma bora uhakika na uaminifu.
Mteja Kwetu ni Mfalme.
Service Survey Charge 30k.