4 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA TABATA KINYEREZI MBUYUNI DAR ES SALAAM-TANZANIA
BEI: 255 MILLION (MAONGEZI YAPO)
SERVICES CHARGE: 30,000
📍LOCATION: TABATA KINYEREZI MBUYUNI DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍WILAYA YA ILALA
📍UMBALI NI DAKIKA 4 KUTOKA MAIN ROAD
IKO SEHEMU NZURI YENYE+UTULIVU
______________________________
MUUNDO WA NYUMBA
-👉VYUMBA 4 VYA KULALA ( 3 MASTER BEDROOM)
-👉SEBULE NZURI
-👉DINNING ROOM
-👉JIKO SAFI MAKABATI
-👉STOO
-👉DINING
-👉PUBLIC TOILET
HUDUMA
-👉MAJI YAPO
-👉UMEME UPO
-👉PARKNG SPACE IPO
-👉IKO NDANI YA FENSI
-👉WATER REVERSE TANKS ZIPO
_________________________________
✅️ FULLY DOCUMENTED (HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI)
UKUBWA WA KIWANJA 800 Sqm
__________________________
KWENDA KUONA 30,000\/-
_____________________________________
MAWASILIANO
0716223412
0683597453