4 Bedrooms House for sale at Temeke, Dar Es Salaam


Nyumba zipo mbili ndani ya fence moja zote mbili zina uzwa kwa pamoja tsh mil 230 tu
Wai mdau wangu bila kukosa Nyumba ni kalli sana zipo jiji la dar es Salam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya mbagala chamaz kwa mkongo
Nyumba kubwa ya chini ina vyumba vinne vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku
Eneo square mitar 700
Ina full document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa Upimaji shilikishi usha fanyika Njoo uone live mdau wangu biashara imalizike faster hii Uwezi kuiyacha kabisa ukiwa serious
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nicheki whatspp 0759 203175. 0759 203175 0652618143