4 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam




INAUZWA KWA DHARULA, VYUMBA 4,TSHS25 MILIONI, UKONGA.
KIMFAACHO MTU CHAKE,
NAWE CHUKUA FURSA UJIKOMBOE.
Hili ni Pagale zuri lililoishia kwenye hatua ya LINTA.
Eneo ni MATEMBELE YA PILI, BANANA/KwaSUGUYE
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hili ni PAGALE zuri ambalo limejengwa kisasa.
Vyumba 4 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________UkO
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.