4 Bedrooms House for sale at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAUZWA
LOCATION:Tegeta Wazo, Dar es salaam - Tanzania.
Nyumba ina:-
Vyumba Vinne vya Kulala, Vyumba viwili ni Self Conteinar
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1069
Document Clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇Maji Safi Dawasco na Umeme Tanesco vyote vipo
◇Umbali Kilomita 1 tu kutoka bara bara ya lami ya madale Road
BEI: Milioni 180 ila maongezi yapo kidgo.
Service Charge Kuona Nyumba ni Tsh. 30,000/=
Call/WhatsApp: 0713958395
0687800788