4 Bedrooms House for sale at Yombo, Pwani
ENEO ZURI YOMBO MAKANGARAWE LINAUZWA KWA NIABA YA BANK - TEMEKE MUNICIPALITY.
Kuna Gofu la Vyumba Vinne Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Vyumba Vitatu Vina Jitegemea Nje
Eneo Ni Zuri Sana Kwa Uwekezaji Na Makazi Uwekezaji Kuvunja Ukajenga Apartment/Lodge Au Makazi
Umiliki: Leseni Ya Makazi (Residential Licence)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 442
Umbali: Meter 100 Tu Kutoka Barabara Kuu Ya Lami Na Meter 20 Tu Kutoka Barabara Ya Lami Ya Mtaa
Eneo Liko Jilan Kabisa Na Dispensary Ya Makangarawe
Bei : 53 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=