4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







27/4/2025
Nyumba inapangishwa apartment
Location bunju b
Kodi 650000 kwa mwezi
Miezi 4 au 6
Vyumba 3 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme
Ipo ndani ya fence Inajitegemea
Piga simu O745010009 au 0742707023