4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Magomeni, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT 
Loc: magomeni 
Price:1,000,000 per month 
Term: six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Vyumba 4 vya kulala 2 master, sebule, dining, jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea 
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈




















