4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI #500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 16/07/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 500,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
NJIA ZOTE NI NZURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIGA SIMU
0679062127
___
PIGA SIMUUUUU