4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi.
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 4 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Apartment zipo 2 Kuna Servant Cotter ya Single Room Anakaa MPANGAJI
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565