5 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA | BUNJU B
📍 Umbali wa Mita 200 kutoka Lami
🏠 Maelezo ya Nyumba:
Vyumba 5 vya kulala 🛏️(Kila Chumba Kodi Tsh 40,000 kwa mwezi)
Fremu 1 ya biashara 🏪
Gypsum kwenye vyumba vyote ✨
Vyumba 4 vina tiles 🧱
Kiwanja: 400 sqm 🏡
🛠️ Fursa za Ujenzi:
Eneo la mbele lina nafasi ya kujenga fremu zaidi.
Pembeni kuna nafasi ya kujenga vyumba vya nje.
💰 Bei: Tsh Milioni 50 (maongezi kidogo yapo)
🔧 Service Charge: Tsh 20,000/=
📞 WhatsApp/Call: 0687 800 788 | 0713 958 395