5 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


STANDALONE INAPANGISHWA
๐งLocation :: GOBA CENTER
๐งBei :: Tsh. 1,000,000 kwa Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba Vitano (Vitatu Master)
๐Sebule kubwa
๐Dinning
๐Choo cha Public
๐Jiko kubwa lenye makabat
Nipigie/WhatsApp - 0783558470