5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


800K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK.12_15 KUTEMBEA KWA MIGUU
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI NA YANJE
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS 🚫
NB;
NYUMBA BADO MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
ZIPO APARTIMENTS MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
ZOTE ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI ²⁴/24
RESERVE TANK KILA MMOJA ANA LAKE
ILIPWE SHILINGI LAKI NANE KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA NYUMBA HAINA ZAMBI
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000
CONT 👇
0784810004
0779646072
0713545127 WhatsApp