5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INA PANGISHWA STAND ALONE
KODI 400,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO UNAWEZA KUPITIA STOP OVER
UMBAL KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
INA VYUMBA VITANO VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA DINNING
JIKO KUBWA
NA STORE
PABLIC NA BAFU LAKE
UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
O677370515
NDUGU MTEJA NYUMBA ITARUDIWA RANGI