5 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA ENEO KUBWA LA KUFUGIA INAPANGISHWA BEI NI 1,000,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA YAPO MAWILI LA NDANI NA NJE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#PARKING
BEI NI 1,000,000/= X 6
MILIONI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343