5 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE HOUSE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF
Vyumba 5 vya kulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko linafungwa makabati
Kodi 1,000,000 kwa mwezi × 6
Nyumba inaeneo kubwa sana sana, nimpya ina backup ya Umeme ( kuna solar panels za kutosha)
Umbali KM 1 kutoka kituoni
Mafundi wapo site kwaajili ya finishing
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167