5 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Stand Alone Kubwa Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Lami Nyumba
Bei: 2,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Kuishi/Ofisi Sawa. Marekebisho Yanafanyika
☑️Vyumba 5, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Mbili, Dining Jiko & Vyoo
☑️Fensi & Parking
☑️Store & Mabanda Ya Kufugia
☑️Maji Dawasa 24/7 & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz