5 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE #𝗧𝗔𝗕𝗔𝗧𝗔_𝗕𝗜𝗠𝗔
1 MILION × 3 STAND ALONE INAPANGISHWA TABATA BIMA
NYUMBA HII INATAZAMANA NA BARARA YA LAMI IENDAYO SEGEREA_KINYEREZI
NI NYUMBA KUBWA KABISA INAYOFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA
SIFA ZAKE 👇
VYUMBA VITANO VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE ZIPO MBILI KUBWA DINNING KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI STORE NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA VIOO VYA SHATA NDANI YA FENSI YA PEKE YAKE PARKING SPACE KUBWA, KUNA GARAGE KUBWA YA KULAZA GARI ZAIDI YA MOJA
FULL PAVING BLOCKS
FULL GARDEN
FULL A/C VYUMBA VYOTE
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
ULINZI MKUBWA
ILIPWE SHILINGI MILIONI MOJA KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI KUANZIA MIEZI MITATU NAKUENDELEA
NB:
NYUMBA HII INAKUA WAZI PUNDE TU MTEJA ATAKAPOLIPIA
PIA INARUDIWA RANGI UPYA NA KUFANYIWA MAREKEBISHO MADOGOMADOGO
NYUMBA HII IFAA KWA WALE WANAOTAKA KUFANYA OFISI KAMA HOSPITAL, CHUO CHA UREMBO & etc
KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 30,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300