5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
BEI MILIONI 650
MAHALI:GOBA/SALASALA KINZUDI USUKUMANI
UNAWEZA PITIA GOBA AU MBEZI BEACH AFRICANA
UKUBWA KIWANJA SQM 1600
UMILIKI:HATI YA WIZARA YA ARDHI
NYUMBA YA KISASA IMEJENGWA KWA UBORA
WA DARAJA LA (1)
VYUMBA 5 VYA KULALA