5 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA KIFAHALI INAUZWA
๐ NYUMBA HII YA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 5 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#AIR- CONDITION
#GARDEN NZURI
#CCTV CAMERA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 1018
DOCUMENTS :- HATI MILIKI MKONONI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
BEI NI MILIONI 240 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
๐ซ๐ซ NYUMBA HII YA KIFAHALI IPO GOBA - KINZUDI NA IPO MTAA MZURI SANA MTAA WA KISHUA . UNAPITIA GOBA ROAD UNAINGIA BARABARA YA KINZUDI ROAD HADI SITE
PIA UNAWEZA KUPITIA AFRICANA NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
0679447338
0753454167