5 Bedrooms House for sale at Kibaoni, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 1,400,000,000

FURSA YA BIASHARA KATIKATI YA MAKAO MAKUUU YA NCHI DODOMA.

Eneo ni sq mita 14,933...block K karibu na chuoncha mipango

Vyumba vyote ni self,

= nyumba 5 zina vyumba 8 kila moja jumla ni vyumba 40 kila chumba kimoja ni sq m 21,

= nyumba 1 vyumba 16 kila kimoja sq m 15

vyumba vinameet requirement ya 5 star hotel

umeme umesambazwa kwa ajili ya vitanda, tv na kusomea, na kushave.

Nyumba zote zina line ya maji moto na baridi ni kufunga tu heater.

Ni Katikati ya mji hivyo panaweza pia kufanyika kumbi za sherehe na nyumba zaidi. Kumbi zilizo pahala hapo hujaza watu kila wiki.

Ni pazuri kwa biashara ya shule na chuo pia.

Eneo llilotumika ni theluthi tu, theluthi 2 bado haina kitu.

Kila jengo lina mita yake ua maji na umeme.

Lina wapangaji hivyo unanunua na wateja wake waliopo. Halikosi wateja.

Imekaa kimkakati. Ni katikati ya chuo cha mipango, chuo cha madini, chuo cha ufundi cha don bosco, seminari ya don bosco, makao makuu ya jeshi kibaoni

Panaweza kufanyika taasisi ya aina yoyote.

Kuna kisima kina maji muda wote na kuna maji ya duwasa.

Eneo lina hati....... Bei 1.4 B

Contact call 0712531657#0789731695

0712531657. .. .
dalalimwanamke_mbezibeachtz
0712531657. .. .

Similar items by location

Plot for sale at Kibaoni, Morogoro

Sh. 85,000,000

Kiwanja kinauzwa tegeta kibaoni square meter 850 tsh 85 milion Contact 0716805939 WHATSAAP0682035535...

5 Bedrooms House for sale at Kibaoni, Morogoro

Sh. 1,400,000,000

FURSA YA BIASHARA KATIKATI YA MAKAO MAKUUU YA NCHI DODOMA. Eneo ni sq mita 14,933...block K karibu n...