5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


GHOROFA LINAUZWA KIBUGUMO KIGAMBONI
👉Lina vyumba vitano vya kulala master nne, public mbili sebule mbili daining, stoo majiko mawili na nje lipo jiko moja pia nje kuna public tatu.
👉Lina umiliki wa hati miliki ya wizara haina deni ✅
👉 Ukubwa wa eneo sqm 627
👉 Umbali wa kutoka barabara kuu ya lami mpaka saiti ni mita 19 Tu
BEI MILIONI 550 MAONGEZI
☎️: ( 0629827031 ) kwa mawasiliano
#realestate #nyumbainauzwa #hotelforsale #propertyforsaletanzania #daressalaamcity



















