5 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
Nyumba Kali Sana Inauzwa
Mahali: Kimara Korogwe
Bei: Milioni 600 Maongezi
☑️Sqm 1500
☑️Vyumba 5, Vitatu Ni Master
☑️Sebule, Dining, Jiko Na Choo
☑️Ina Boy Kota Ya Vyumba 2 Ssbule Jiko Na Choo
☑️Hati Ya Wizara Imenyooka
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)