5 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA IPO MITA 600 TOKA LAMI INAFAA KWA MABORESHO YA APPARTMENT, LODGE, HOTEL AU MAKAZI INAUZWA MIPANGO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 800 sq.m
Corner plot
Ina vyumba vitano
Master bedroom
mbele ina FREM
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bado ina ENEO KUBWA
Ipo jirani na APPLE GARDEN
BEi ni Tshs. 135,000,000/= ( milioni Mia moja na thelasini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"