5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Ya Ghorofa Inauzwa
Mahali: Mbezi Luiz Near Magufuli Bus Terminal
Bei: Milioni 330 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm602
☑️Sifa: Vyumba 5, Vinne Ni Master, Sebule Mbili, Jiko Na Choo
☑️Umiliki: Hati Miliki Imenyooka
☑️Msingi Ni Wa Ghorofa 4, Na Familia Zinaweza Kujitegemea Kwa Kila Floor
☑️Umbali: Km1 Kutoka Magufuli Bus Stand
☑️Pamejengeka Sana Na Huduma Zote Zinapatikana
☑️Inafaa Kwaajili Ya Makazi Au Biashara
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz



















