5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







*NYUMBA INAUZWA – TSH MILIONI 150 (Maongezi kidogo)*
MBEZI MALAMBA KWEMBE
KILOMITA 2 TU KUTOKA BARABARA YA RAMI
*MAELEZO YA ENEO:*
- Ukubwa wa kiwanja: sqm 2000
- Eneo lote limezungushiwa uzio (fence)
*NYUMBA KUU:*
- Vyumba 5 vya kulala (kimoja ni master)
- Nyumba ni kubwa na inafaa kwa familia
*MIUNDO MBINU YA ZIADA:*
- *Servant Quarters (Nyumba za watumishi):*
- Moja ina chumba na jiko
- Nyingine ina chumba kimoja
- *Ghala (Warehouse):*
- Lina ofisi ndani
- Bado halijapaua tu, msingi na kuta tayari
*NB:* Inafaa kwa makazi au uwekezaji wa biashara.
Wasiliana kwa maelezo zaidi au kuona site.
0746 433 854



















