5 Bedrooms House for sale at Mikocheni, Dar Es Salaam
NYUMBA YA GOROFA INAUZWA MIKOCHENI B. NJE INA FRAMU 6 ZA BIASHARA
LOC : MIKOCHENI B
UKUBWA : SQMT 1197
PRICE : BIL 1.7
UMILIKI : HATI
SIFA:- JUU KUNA
-VYUMBA VITANO VYA KULALA, MASTER MBILI
- CHOO CHA PUBLIC
- STOO
CHINI KUNA:-
-SEBULE MBILI
-VYUMBA VIWILI VYA KUKALA VYOTE MASTER
-DINNING
-JIKO
-CHOO CHA PUBLIC
-STOO
PIA KUNA SERVANT QUATER YA VYUMBA VIWILI KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELFU 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI
0718124109