5 Bedrooms House for sale at Nyaishozi, Kagera


NYUMBA INAUZWA 
DIRECTION TEGETA NYAISHOZI
PRICE MILIONI 750 MAONGEZI 
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 790
Vyumba 5 vikubwa vyakulala 
Nyumba ni gorofa 
Nearby hood safi 
Inasifa zifuatavyo
Sebule jiko
Public toilet
Iko ndani yafensi
Maji dawasco
Dinning
Parking kubwa
Ina space ya kutosha 
For more information 
+255745111333 call,what's app



















