5 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani







GHOLOFA LA KISASA, VYUMBA VITANO (5) TSHS.250 MILIONI, VIKINDU.
Nyumba nzuri ya kisasa yenye SAKAFU mbili.
Ipo umbali wa kilomita 28 kutoka POSTA.
Barabara ya Kilwa,
Baada ya MBAGALA RANGITATU na KONGOWE.
HII NI NYUMBA YA-KUHAMIA.
Vyumba vyote vitano (5)
Kila kimoja na Choo chake ndani.
Sebule zipo mbili (Juu na Chini)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Eneo ni kubwa, tulivu na Salama.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.