Farm for sale at Namanga, Arusha


SHAMBA ZURI KWENYE USO WA BARABARA LINAUZWA
Maelezo
📌 Ukubwa wake ni ekari 4
📌 Lipo barabara ya Arusha Namanga jirani na Radio Habari Maalum(Ngaramtoni)
📌 Eneo linafaa kujengwa kituo cha mafuta
📌 Panafaa kujengwa ghala
📌 Panafaa kwa maegesho ya magari
📌Pia panaweza kujengwa taasisi yeyote.
BEI
Kwa eneo lote ni Tsh 600,300,000/=
TUPIGIE
0759261468/0621840614