Farm for sale at Ruvuma


SHAMBA LA HEKARI 130, GODAUNI,JENGO LA MASHINE, JENGO LA WAFANYAKAZI & KISIMA ZINAUZWA MADABA SONGEA RUVUMA. (0621488071)
➡️Shamba ni hekari 130( ni Shamba la pili kutoka Barabara kuu ya lami SONGEA-DAR
➡️Shamba linalimwa ni safi si pori
➡️Shamba linarutuba linafaa kilimo cha MPUNGA,MAHINDI, TANGAWIZI N.K
➡️Kuna NYUMBA YA WAFANYAKAZI,NYUMBA YA MASHINE(GHALA)
➡️Kuna KISIMA cha maji
➡️Bei ni MILIONI 55
➡️KUMBUKA UKIIVISHA MAZAO MAKAMPUNI KAMA AZANIA N.K YANAKUFATA SHAMBANI KUNUNUA MAZAO YAKO
*Buy,sale, Rent and Advertise with us*
Calls and Whatsapp+255621488071
broker_mtwara_town
mrmalekela malekelaonline_tv
dalalimtwara uncledalalimtwara1