Farm for sale at Visiga, Pwani







*Shamba la Ekari 12.5 linauzwa Visiga, Kibaha*
*Distance* 2.5 KM kutoka Morogoro road
-Eneo ndani lina mabanda ya kufugia kuku (10,000), Nyumba ya Wafanyakazi, Solar System zenye Panel 12, Visima vya maji 2 kimoja Meter 80 na Meter 140, Maji ya Dawasco na Umeme.
-Plot size Area 23,599.9 Sqmtrs na Sqmtrs 26,251 sawa na Ekari 12.5
-Document: Title Deed
*Bei Tsh milion 450 maongezi yapo*