Farms for sale at Bagamoyo, Mbeya
Shida zisizoumiza ukiwa Na shamba lako
Miliki shamba kwa ajili ya ufugaji Bagamoyo Kiwangwa
Mashamba yako umbali wa km 8 tuu kutoka barabara ya lami
Thamani yake ni 1,500,000/= kwa ekari ukiamua kulipia kwa kidogo kidogo
👉 lipia 100,000/= kwa ekari moja kila mwezi kwa miezi 15
Ukilipa cash ni 1,350,000/= tu
👉 lima nanasi, ndizi, mahindi, vitunguu, nyanya
Unaweza kufuga Ng'ombe, kondoo au mbuzi
👉 Ardhi ni mali, na mali iko shambani
Tupigie kufika shambani
+255683273159
Kuona site ni kila Jumamosi, Mchango wa nauli ni 10,000/= tu
Tunapatikana Sinza kivulini jirani ja jengo la S H Amon.
Karibuni sana