Farms for sale at Heka, Singida


SHAMBA LINAUZWA
SHAMBA LINAUKUBWA WA HEKA 5
SHAMBA HILI LINA ARDH YENYE RUTUBA, UNAWEZA KUFUGA AU KUFANYA UWEKEZAJI UNAOUTAKA
SHAMBA HALIJAPIMWA BADO
MAHAL SHAMBA LILIPO NI KIBAHA SAGALE KARIBU KABISA NA CHUO KIKUU CHA MUSLIM CAMPUS YA KIBAHA
SHAMBA LIPO TAMBARARE NA PEMBEZONI MWA BARABARA YA MTAA
UMEME UPO TAYAR NA BOMBA LA MAJI YA DAWASCO HALIPO MBALI
BEI YA HEKA ZOTE TANO NI SH 100 MILLION
BARABARA ZAKE ZINAFIKIKA NA HAZINA SHIDA UNAWEZA KUPITIA NJIA YA CHUO CHA SIASA CHA MWALIMU NYERERE KILICHOPO KWA MFIPA AU UKAPITIA NJIA KWA MATHIAS BARABARA YA CHUO HURIA CAMPU YA KIBAHA
USAFIRI WA PIKIPIKI NI SHILING 2000/= TU MPKA SITE
NDUGU MTEJA GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SHILING 30000/=
NB#KAMA UNAHITAJI MASHAMBA, VIWANJA USISITE KUWALIANA NAMI
☎️ #0757208653