Farms for sale at Masaika, Pangani, Tangaacre 28

 media -1
media -1
media -2
Sh. 150,000,000
Size
28acre
Installment Allowed
Agriculture
Project
Yes

# Kiswahili Ninauza shamba lililopo Kijiji cha Masaika, Kata ya Bushiri, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga ambapo ni eneo lililo karibu na barabara ya Muheza-Pangani linalofikika kirahisi kwa majira yote ya mwaka. Ni shamba ambalo limeendelezwa kwa kiasi kwa kupandwa miti takribani 6000 aina ya mitiki, [Tectona grandis (teak)], ambapo mikubwa zaidi ikiwa imepandwa mwaka 2015. Shamba pia lina nyumba ya wastani ya vyumba viwili (2), choo cha ndani na sebule pamoja na banda la mifugo. Eneo lililopo shamba pia linastawi mazao ya mkonge, karanga, mahindi, michungwa, n.k. pamoja na uhakika wa malisho ya mifugo kutokana na upatikanaji wa majani ya malisho kwa wingi. # English I am selling a farm located in Masaika Village, Bushiri Ward, Pangani District, Tanga Region, which is an area close to the Muheza-Pangani road that is easily accessible throughout the year. It is a farm that has been partially developed by planting approximately 6000 teak trees [Tectona grandis (teak)], with the largest being planted in 2015. The farm also has a two (2)-bedroom house, an indoor toilet and a living room, as well as a livestock shed. The area where the farm is located also thrives on sisal, peanuts, maize, citrus, etc., as well as ensuring livestock grazing due to the availability of abundant pasture grass.

Stephen R. J. KingWere
ecosolutions.co.tz
Stephen R. J. KingWere

Similar items by location

Farms for sale at Masaika, Pangani, Tangaacre 28
  • 28acre
  • Agriculture
  • Project

Sh. 150,000,000

# Kiswahili Ninauza shamba lililopo Kijiji cha Masaika, Kata ya Bushiri, Wilaya ya Pangani, mkoani T...