Retail Space for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam
FREMU INAPANGISHWA
Loc: kinondoni
Price:200,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi
Classification:
Fremu nzuri ipo sehemu nzuri kubwa kiasi karibu sana na barabara unaweza kufanya biashara mbalimbali saluni, ofisi, pharmacy duka la nguo,movie center n.k
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈