Retail space for rent at Makumbusho, Dar Es Salaam


Frame zinapangishwa
Location:- Makumbusho
Bei:- 400K za Mbele
Bei:-300K za Ubavuni
Angalizo gharama za kupelekwa kuona Frame ni 20K
Malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo Frame
Kwa maelezo zaidi piga simu