Retail Space for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


FRAME π₯FRAME π₯FRAME
FRAME NZURI NA KUBWA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA INA ZIFUATAZO
#FRAME KUBWA
#IPO MTAA MZURI SANA
#LUKU WAWILI
#MAJI YAPO YAKUTOSHA
BEI NI 100,000/= X 6
FRAME HII IPO MBEZI KWA MSUGURI MAENEO YA MALAMBA SHULENI
HAPA UTAFANYA BIASHARA WATOTO WA SHULE,WAPITA NJIA WA MTAANI NI WENGI SANA,KARIBU NDUGU MTEJA UPATE FRAME NZURI NA BEI NZURI
π₯ KUONESHWA FRAME HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA FRAME UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CALL 0659244543