Retail space for rent at Serengeti, Mbeya


STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA+SERVANT QUARTER YA MASTER BEDROOM+ FRAME YA BIASHARA
MAHALI- SINGIDA ROAD
MUUNDO
~~Vyumba V3 vya kulalaa (02 MASTER)
~~sebule kubwa
~~jiko zuri LENYE MAKABTI
~~Public toilet
~~Air condition Vyumbani na sebulen
~~Heater kwa ajili ya Maji moto
~~Reserve Tanks NNE
~~FRAME YA BIASHARA
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa YENYE CANVA SHED
~~Electric Fense
~~Automatic Remote Gate
~~usalama wa kutosha
______________________________
MALIPO
~Bei ni 500,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 4
______________________________
UNAWEZA UKAPANGISHA HIYO FRAME NA HIYO SERVANT MASTER NJE KWA BEI YA 150K Kwa kila moja....MAAMUZI NI YAKO WW MPANGAJI ...
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
Gharama za kwenda site ni 10,000
0625631258
#
#
#
#
#
#
#
#
#
#whiccisthiscountry #diamondplatnumz#dodomadalali #dalaliwadodoma #dalaliviwanja #dalalinyumbadodoma #dalalimagaridodoma #dodomamagari #dodomabrokers #dodomarealestate #dodomaviwanja #tanzania #mamasamia #ccm #chadema #dodomaccm #dodoma #dodomachumba #dodomarentals #millardayoupdates #serengeti #gainwithmchina #alikiba #wasafitv