Retail space for sale at Kawe, Dar Es Salaam


Unahitaji Eneo la Biashara? Basi hii apa boss wetu:
Fremu ipo Kawe Mwanzoni Mkabala na Stand Mpya ya Daladala
Fremu Inauzwa (Kilemba) ,
Bei : Million 8 , Pamoja na Malipo Ya Miezi 11, Kodi ni Lak 7 Kwa Mwezi,
Biashara yeyote inafaa hapa , Karibuni Sana
Tafadhali Tupigie:
0768753468 / 0784397369
Whatsapp: 0784397369
Dm : sarumbo_realestate
#sarumborealestate#daressalaam#tanzania#kawe#fremu#biashara#uwekezaji#diamondplatnumz#fidq#tzconnection