Retail Space for Sale at Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kivule frem kumi (chakenge mnarani) wilaya ya ILALA DAR
📌BEI MILION 20 (usiogope)
Vyumba jumla ni V3 kimoja Masta
sebule
📌(NYUMBA KUBWA INA VYUMBA V3 KIMOJA MASTA NA SEBULE)
Umeme maji, jipsam
Nyumba yote ipo kwenye fens
Whatsap au piga 0673 601 114



















