Furnished House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam
FULL FURNISHED APARTMENT KALI
Loc:Kijitonyama
Price:500,000 per month
Term:3 month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa Mara Moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Chumba master kubwa Sana full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani unamia na vitu vyako full furnished
Fanya kazi na dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0718123756
Call:0688037829