Furnished House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Full Furnished Apartment ya Master Bedroom Kubwa - 250,000 TZS kwa Mwezi
Maelezo ya Apartment:
• Chumba: Master bedroom kubwa
• Huduma:
• WiFi ipo
• Maji 24/7
• Security 24/7
• Parking: Kubwa
• Umbali: Dakika 7 kutoka barabara kuu
Bei:
• Kodi: 250,000 TZS kwa mwezi
Masharti ya Malipo:
• Kodi kwanzia miezi 4 nakuendelea
• Service Charge: 20,000 TZS
• Commission ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali:
• Ubungo-Golan
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu au tuma WhatsApp kwa:
• Namba: +255692932076