Furnished House/Apartment for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam


FULL FURNISHED APARTMENT FOR RENT 
Loc:kinondoni 
Price:1,500,000 per month 
Term:2 month +
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa Mara Moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Chumba master, sebule, jiko furniture za kisasa unamia na nguo zako full air conditioner nyumba nzuri ya kisasa 
Fanya kazi na dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info
Call:0718123756
Call:0688037829




















