House for Rent at Bagamoyo, Mbeya
Ukiskia mwezi dume ndohuu sasa na zitupa hizi Apartment zipo 7 kwenye fensi moja kila moja ina vyumba v2 sebule jiko choo na zimejaa wapangaji wote wana lipa 350k kwamwezi nyumba zipo kwenye kiwanja cha sqm 1800 zipo boko calfonia zipo mita 100 kutoka bagamoyo rod na zitupa kwa bei ya January milion 380 tajir na maongezi kidogo yapo ewe mwekezaji njoo nyumba zipo full hati ya wizara🥹🥹🙌📞0625584914