House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


π BUNJU BEACH YA USHUANI
BUNJU BEACH, Bunju ambayo upepo unavuma kutoka baharini moja kwa moja ambayo ipo juu.
β Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.
β Hapa tumepima viwanja 17 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.
β Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan bunju beach wengi mnaijua kwa kupangika.
β Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.
Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.
β Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.
ββββWatu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.
BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE
Hapa tunauza sqm 1 kwa 100,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 45MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.
Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 500 mpaka sqm 875.
Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.
Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 3, utaanza na 70% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 3 tu.
UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA
Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa inayoenda uwanja wa simba sports club.
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0750768201 [Call and Whatsapp]
Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.
Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.
Tunajari wateja wetu.
Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company sustainablecities_company sustainablecities_company
Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.